Wengine furaha yetu ipo ndani ya uleviHUYU NDIE MLEVI!!!!!:
1,Akipata kazi ANALEWA
2,Akifukuzwa kazi ANALEWA
3,Akioa ANALEWA
4,Akiachika ANALEWA,
5,Akifurahi ANALEWA,
6,Akichukia ANALEWA
7,Akipandishwa cheo ANALEWA,
8,Akishushwa ANALEWA
9,Akijenga nyumba ANALEWA
10,Akinunua gar ANALEWA
11,Akipata ajali ANALEWA,
12,Akimpata mtoto ANALEWA
13,Akifiwa ANALEWA
14,Akisifiwa ANALEWA
15,Akikosolewa ANALEWA
16,Akishiba ANALEWA
17,Akiwa na njaa ANALEWA
18,Timu yake ikishinda ANALEWA
19,Timu yake ikifungwa ANALEWA
20,NA leo mwaka mpya 2024 ndio usiseme ATALEWA MPAKA ASUBUHI
LABDA AFE TUU NDIO HATALEWA
SeenHUYU NDIE MLEVI!!!!!:
1,Akipata kazi ANALEWA
2,Akifukuzwa kazi ANALEWA
3,Akioa ANALEWA
4,Akiachika ANALEWA,
5,Akifurahi ANALEWA,
6,Akichukia ANALEWA
7,Akipandishwa cheo ANALEWA,
8,Akishushwa ANALEWA
9,Akijenga nyumba ANALEWA
10,Akinunua gar ANALEWA
11,Akipata ajali ANALEWA,
12,Akimpata mtoto ANALEWA
13,Akifiwa ANALEWA
14,Akisifiwa ANALEWA
15,Akikosolewa ANALEWA
16,Akishiba ANALEWA
17,Akiwa na njaa ANALEWA
18,Timu yake ikishinda ANALEWA
19,Timu yake ikifungwa ANALEWA
20,NA leo mwaka mpya 2024 ndio usiseme ATALEWA MPAKA ASUBUHI
LABDA AFE TUU NDIO HATALEWA
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kila mtu aishi na maisha yake, wengine kulewa ni ibada
Ibada hiyo anamwabudu nani? Maana peponi ndo kuna mito ya pombe tutapewa na Allah.Kila mtu aishi na maisha yake, wengine kulewa ni ibada
Na siku tukifa tunyeshewe pombe kaburini, Sizi ndio walevi.HUYU NDIE MLEVI!!!!!:
1,Akipata kazi ANALEWA
2,Akifukuzwa kazi ANALEWA
3,Akioa ANALEWA
4,Akiachika ANALEWA,
5,Akifurahi ANALEWA,
6,Akichukia ANALEWA
7,Akipandishwa cheo ANALEWA,
8,Akishushwa ANALEWA
9,Akijenga nyumba ANALEWA
10,Akinunua gar ANALEWA
11,Akipata ajali ANALEWA,
12,Akimpata mtoto ANALEWA
13,Akifiwa ANALEWA
14,Akisifiwa ANALEWA
15,Akikosolewa ANALEWA
16,Akishiba ANALEWA
17,Akiwa na njaa ANALEWA
18,Timu yake ikishinda ANALEWA
19,Timu yake ikifungwa ANALEWA
20,NA leo mwaka mpya 2024 ndio usiseme ATALEWA MPAKA ASUBUHI
LABDA AFE TUU NDIO HATALEWA
[emoji23][emoji23] kama ilivyo rastafarian na mjani sio.Kila mtu aishi na maisha yake, wengine kulewa ni ibada
Mi nilikuwa nalewa hadi chooni nikienda kukata gogo naingia na chupa yangu ya serengeti lite.HUYU NDIE MLEVI!!!!!:
1,Akipata kazi ANALEWA
2,Akifukuzwa kazi ANALEWA
3,Akioa ANALEWA
4,Akiachika ANALEWA,
5,Akifurahi ANALEWA,
6,Akichukia ANALEWA
7,Akipandishwa cheo ANALEWA,
8,Akishushwa ANALEWA
9,Akijenga nyumba ANALEWA
10,Akinunua gar ANALEWA
11,Akipata ajali ANALEWA,
12,Akimpata mtoto ANALEWA
13,Akifiwa ANALEWA
14,Akisifiwa ANALEWA
15,Akikosolewa ANALEWA
16,Akishiba ANALEWA
17,Akiwa na njaa ANALEWA
18,Timu yake ikishinda ANALEWA
19,Timu yake ikifungwa ANALEWA
20,NA leo mwaka mpya 2024 ndio usiseme ATALEWA MPAKA ASUBUHI
LABDA AFE TUU NDIO HATALEWA