KING MIDAS
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 8,589
- 16,936
Moja ya tamaduni za kale huko nchini DENMARK ....tamaduni hiyo iliyokuwa inahamasisha suala LA ujenzi wa familia iliitwa “pebermø”.
Inasemekana tamaduni hiyo ilikuwa karne nyingi zilizopita ikapokelewa vizazi na vizazi
Kwa miaka hiyo ilikuwa ni ajabu kwa MTU kufikisha miaka 30 bila ya KUOA au kuolewa au kuwa single...
Lakini kabla ya kumwagiwa pilipili Luna taarifa unapewa miaka mitano nyuma.....kwa maana kuwa unapofika miaka 25 ukiwa bado upo single marafiki zako wakaribu pamoja na ndugu watakumwagia mdalasini
Lakini unapofika miaka 30 na bado ukiwa katika hali hiyo hiyo ya Usingle basi marafik zako watakuvizia na kukumwagia pilipili
Japokuwa tamaduni hiyo imepunguwa kwa kiasi kikubwa lakini kuna watu wachache bado wanaifanya
Je hali ingekuwaje nchini Tanzania kama hiyo tamaduni ingekuwep0??
Vipi Wewe wangekumwagia kipi mdalasini au pilipili au ungenusurika??
Hebu mtag rafili yako single ambaye angemwagiwa pilipili