Ukifuata viwango vya WHO ni makosa kuzuia wasafari wakati wa majanga

Ukifuata viwango vya WHO ni makosa kuzuia wasafari wakati wa majanga

jingalao

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
36,197
Reaction score
29,717
Kwa wasomi wa Emergency preperadness and responce, Disaster management na control of Cominicable deseases watakuwa wanaelewa sana kuhusu Intrnational Health Regulations (IHR 2005).

Hivyo mataifa yanayozuia free movement ya wasafiri yanapaswa kukaa chini na wataalamu wao na kuepusha usumbufu kwa wasafiri.
Ndio maana Tanzania haikujikita katika kataza kataza.

COVID 19 is another new desease we are obliged to live with for many decades to come.
 
Kenya wamekosa weledi katika kukabiliana na covid 19 katika nyanja zote
 
Back
Top Bottom