Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,587
Maisha ni changamoto sana.
Ukiwa mfugaji wa kuku nyumbani kwako unakaribisha panya kwa kasi sana kupitia vyakula vya kuku kama pumba, paraza ,uduvi , dagaa n.k !
Ukishaona tu kuna panya nyumbani kwako, nyoka wapo hapo hapo ndani kwako kwa ajili ya kitoweo (panya).
Ukifuga paka ili apambane na nyoka, kuku wako wataliwa muda wowote na panya.