Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,587
Panya wa wapi hao wanaokula kuku mkuu...Maisha ni changamoto sana.
Ukiwa mfugaji wa kuku nyumbani kwako unakaribisha panya kwa kasi sana kupitia vyakula vya kuku kama pumba, paraza ,uduvi , dagaa n.k !
Ukishaona tu kuna panya nyumbani kwako, nyoka wapo hapo hapo ndani kwako kwa ajili ya kitoweo (panya).
Ukifuga paka ili apambane na nyoka, kuku wako wataliwa muda wowote na panya.
Hongera, imara, waaa....haya sasa tueleze hadithi yako inatufundisha nini?Maisha ni changamoto sana.
Ukiwa mfugaji wa kuku nyumbani kwako unakaribisha panya kwa kasi sana kupitia vyakula vya kuku kama pumba, paraza ,uduvi , dagaa n.k !
Ukishaona tu kuna panya nyumbani kwako, nyoka wapo hapo hapo ndani kwako kwa ajili ya kitoweo (panya).
Ukifuga paka ili apambane na nyoka, kuku wako wataliwa muda wowote na panya.
Isiyowezekana na wasiojulikana ni dugu moja.Hongera, imara, waaa....haya sasa tueleze hadithi yako inatufundisha nini?
Panya anakula kuku aiseee,sikuwa nikifahamu
Hao labda kuku wa kizungu.. Kwa kuku wa kienyeji, panya ndo analiwa, na nyoka wadogo wanamezwadooh hao panya wala kuku si mchezo
Panya wa wapi hao wanaokula kuku mkuu...
Hii inaitwa "mchana jua usiku wanga!"Maisha ni changamoto sana.