Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,468
- 911,184
Namwambia ndio nataka tufanye majaribio siku hiyo, maana inasaidia ladha ya nanasi na chungwa.
atakuuliza ufanye majaribio na nani na hata hamjawahi kushauriana?
Mzee mmoja Mchagga akiwa mjini Shinyanga alitembelewa na mkewe ambaye huishi kijijini. Huyo mzee alikuwa na Land Rover 109 ambayo aliitumia kibiashara kwenda magulioni.
Siku chache baada ya bi mkubwa kufika Shy, akakumbana na soxy kwenye nguo za mzee wakati anazifua. Alikuwa hajui ni kitu gani hivyo akamwekea.
Mzee aliporudi akaambiwa: 'kuna hii kitu nimeikuta kwenye nguo zako'.
Mzee akajibu: 'Ooh afadhali, nimeitafuta sana, huwa inatumika kuziba pancha kwenye tairi'.
mm kuna rafk yangu mkewe aliikuta mfukoni,ilikua kes kubwa!ila unajua tena akina mama wana huruma,yakaisha!ila ilikua timbwiri la kufa mtu!
Nimekutana na promotion njiani wananikonvisi kununua kwa ajili ya majaribio hasa ya kupanga uzazi.
Mzee mmoja Mchagga akiwa mjini Shinyanga alitembelewa na mkewe ambaye huishi kijijini. Huyo mzee alikuwa na Land Rover 109 ambayo aliitumia kibiashara kwenda magulioni.
Siku chache baada ya bi mkubwa kufika Shy, akakumbana na soxy kwenye nguo za mzee wakati anazifua. Alikuwa hajui ni kitu gani hivyo akamwekea.
Mzee aliporudi akaambiwa: 'kuna hii kitu nimeikuta kwenye nguo zako'.
Mzee akajibu: 'Ooh afadhali, nimeitafuta sana, huwa inatumika kuziba pancha kwenye tairi'.
teh..teh..teh..teh
ngumu kumesa! Namwambia huwa natumia kujichua ukiwa haupo kupunguza sugu kunako dushelele.
...mi ndio kwanza naingia jamani.
kama haijatumika na iliyotumika si zinafanana tu...........siyotumika inaweza kuwa njiani kutumika.............na iliyotumika inamaanisha safari nyingine huenda iko njiani pia.............si mwonja asali haachi hadi achonge mzinga..........labda uniambie imeshatumika au bado? kama bado inazungumzika ila kama tayari hujniconvice bado.