ukifumaniwa na soksi utajiteteaje?

Wewe kiboko!
 
Umenichekesha sana mkuu,mimi nilishuhudia ndugu yangu mmoja alikua ametoka safarini Serengeti kikazi,basi mkewe akawa amechukua nguo zake zote kwaajili ya kuzifua ndipo alipokuta Soxy kwenye suruali aliyokua ameivaa siku amerudi,Jamaa alipoulizwa jibu lilikua rahisi sana,Alisema;NIMEPEWA NA MZUNGU,ugomvi ulikua mkubwa suluhu ilipatikana baada ya kikao cha wazee.

lazima uwe mpole,maana ukijitia ujuaji kesho yake utamkuta mkeo ana KY kwenye pochi yake.kunyamaza sio ujinga.
 
iliyotumika utaiifadhi vipi mzee atakua alichomekewa tu.....du pole sana ndio iyofanya muachane au.
 
hapana mkuu,
hiyo ilikuwa issue ya kawaida tu,
tena miaka ya 80s, mambo yalikuja haribika kabisa miaka ya
elfu mbili mwanzoni.

dalili ya mvua ni mawingu............lakini mim ninaamini kila kitu hutokea kwa sababu fulani...............tunaweza tusijue lakini kuna siku Mwenyezi Mungu atakufunulia kila kitu alichokuwa anakukwepesha.......
 
hata hivyo kila kitu kilishaonekana,
kwa kuwa hili ni jamvi
tunakwenda mdogo mdogo.

But namshukuru Mungu.

dalili ya mvua ni mawingu............lakini mim ninaamini kila kitu hutokea kwa sababu fulani...............tunaweza tusijue lakini kuna siku Mwenyezi Mungu atakufunulia kila kitu alichokuwa anakukwepesha.......
 
Itategemea mwanamke atachukuliaje! Mi iliwahi kunitokea nilishindwa kujieleza, na kibaya zaidi nilikuwa nimetoka out na shemeji yangu (mdogo wake wife) tulienda wote harusini. Nilizinunua kuweka tahadhali lakini bahati mzuri shem alidai tusidu tutadu siku nyingine,
Ilibidi niondoke asubuhi nile mtungi wa kutosha nijilewee nzwi ili asahau!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…