UKIFUNGUA KAMPUNI NI KODI GANI NA GANI UNAHITAJI KULIPA TRA?

A.G.R

Senior Member
Joined
Feb 23, 2013
Posts
161
Reaction score
16
Habari Ndugu Zangu,

ningependa kufahamu mtu akiwa na kampuni anahitaji kulipia kodi gani na gani?
 
Habari Ndugu Zangu,

ningependa kufahamu mtu akiwa na kampuni anahitaji kulipia kodi gani na gani?

Withholding tax/stamp duty ya mkatab w pango kama umepanga ofisi ya hiyo kampuni yako

Provisional(makadirio) ya income tax, 30% ya unachofikiri itakuw faida yako katik mwaka husika. Waweza lipa mara moja au kwa quatrr 4.

Baada ya hapo wanakuoa tax clerence, ukapate lwaeni ya biashara
 
1. Estimation on Income tax

2. Income Tax ( Mwisho wa mwaka, baada ya kujaza vitabu vya mahesabu na kukaguliwa na auditor)

3.Vat ( if registered)

4.Witholding tax on Rent Fee (11% of rent)

5. WCF

6. SDL

Other Cost

1. Brela
2. Business Licence
3. Office Rent fee
4. Fire
5.Osha
6. Nssf
 
Habari Ndugu Zangu,

ningependa kufahamu mtu akiwa na kampuni anahitaji kulipia kodi gani na gani?
 
"Baada ya hapo wanakuoa tax clerence, ukapate lwaeni ya biashara",hii ndiyo maana ya sentensi tata katika lugha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…