Ukigundua leo ndio siku yako ya mwisho kitu gani utajutia kukifanya

Zero IQ

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2016
Posts
13,959
Reaction score
24,935
Ukigundua leo ni siku yako ya mwisho kitu gani utajutia kukifanya ?

Na pia kitu gani utajutia kwa kutokukifanya wakati wa uhai wako?


CC ZERO IQ
 
NTAJUTIA KUTENDA DHAMBI, ILA KWAKUA NIMEGUNDUA NI SIKU YA MWISHO NI KUTUBU KWA MUUMBA WANGU
 
Kuhusu kujutia nilichokifanya hakiko.

Na kuhusu kujutia kile ambacho sijakifanya, nitajilaumu na kujuta sana kwa nini nakwenda kaburini ikiwa sijafanya stunts kama vile, kutembelea tairi moja kwenye pikipiki na bodaboda, kuruka kwenye majengo marefu na kuendesha kwa spidi kali.
 
sitajutia kusoma nyuzi zako


ila ntajutia kwanini sikuwahamasisha mods wakuchape Ban maana unaongoza kwa kupost shudu
 
Eeh Mungu hiki kikombe cha siku ya mwisho kinipitie mbali

Amen
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…