Mzito Kabwela
JF-Expert Member
- Nov 28, 2009
- 18,887
- 7,673
Ningependa nifahamu ni maamuzi gani wenzangu mtachukua iwapo hali hii itawakuta. Dada yangu ameolewa na Mnyarwanda ambaye anakijikampuni chake kinachowapatia senti mbili tatu angalau za kuwafanya wawe ana mahudhurio mazuri toilet.Dada yangu huyu ana shostito wake kipenzi tangu elim ya msingi na yeye ameolewa.
Lakini kwa bahati mbaya dada yangu amemfuma mumewe REDI HENDEDI akiliwa tigo na mume wa shostito wake. Inavyoelekea Shostito wa sista hajui kama mumewe anawapumulia wanaume wenzie visogoni.
Ameniomba ushauri ambapo na mimi nauleta hapa kwenu, amwambie shosti wake kuwa shemeji yake ni mke mwenzie?
Na yeye atimue au afanyeje?
Msaada tafadhali!
Thanks ya kitufe pale juu haitoshi,. Naomba nikandamize nyingine ya maneno. THANKS PJ.Bila kupindisha hapo, na bila kupoteza muda wa mahakama, HAKUNA NDOA HAPO. hII NI KAMA ITAKUWA IMETHIBITISHWA BILA KUACHA KIVULI CHOCHOTE CHA SHAKA, KWAMBA HUYU BWANA ANA TABIA HIYO.
Dadako afanye taratibu za Talaka, au kama ndoa yake ni ya Kikristo awahi kwa mchungaji/padiri aeleze nia yake na hatimaye atemane na huyu mpumbavu, ajitafutie bwana mwingine aendelee na maisha!
Shiit!..Swine....gaaaadem!..Idiot!
..Sio bahati mbaya hiyo! kama angalau amemfuma live anasubiri nini? aombe jamaa amuoe na yeye apate radha zote!Ningependa nifahamu ni maamuzi gani wenzangu mtachukua iwapo hali hii itawakuta. Dada yangu ameolewa na Mnyarwanda ambaye anakijikampuni chake kinachowapatia senti mbili tatu angalau za kuwafanya wawe ana mahudhurio mazuri toilet.Dada yangu huyu ana shostito wake kipenzi tangu elim ya msingi na yeye ameolewa.