Kashaijabutege
JF-Expert Member
- Oct 20, 2010
- 2,696
- 740
Mkeo kaacha simu yake ya mkononi wakati akiwa bafuni anaoga na kasha kuaga kuwa anaenda kitchen party. Mara simu inalia na unaamua kuipokea. Unasoma jina ni la Rais wa nchi yako. Hauamini. Unapokea simu na anayekujibu unamtambua kwa sauti yake kuwa kweli ni Rais wako wa nchi. Naye bila kujua kuwa aliyepokea ni tofauti na hawala yake, anakwambia 'Wahi nakusubiri ikulu, pitia geti la Waziri Mkuu'.
Utamruhusu mkeo aende kitchen party kama alivyodai?
Utachukua hatua gani baada ya hapo?
Nami nitamtafuta mke wa huyo mheshimiwa nimchape nao 🙂
Ledga Chila tenga Sio?
utata mwanzo mwisho.
hapo ni kumtafuta mkewe tu..mbona atapatikana! na nikimpata namla kwa haki na taratibu zote na hasira kwa mbaaaaaaali
Kwanza unachukua No ya simu ya Huyo Rais,Pili unaandaa Taraka!!Unampigia huyo Rais unamwambia kwakuwa mimi niraia sina uwezo wakuvaana na wewe sasa mke chukua na taraka akirudi ataikuta na ninaenda kwenye vyombo vya Habari kuwaeleza kuwa Rais Kanipola mke inakuwa nistori ya siku katika vyombo vya habari!!Lazima akuite myamalize nakama akikuita usiweke bifu utauwawa!!kubali yaishe upewe uwaziri wa chee na wewe kamata demu mwingine maisha yaendelee lasivyo kifokitakuwa kikuita kama utataka kuleta bifu kwa rais!!
Kaka mbona yalitokea kwa Sir George Kahama? Nasikia alipogundua naye aliamua kumuoa mdogo wa mkewe (ukoo wa Rutinwa). Yaani Sir George alipogundua akaamua kupiga kwa shemeji yake; na hivyo ameoa wake wawili kutoka familia moja. Mara Balozi, mara CDA, mara Waziri,... katulia tuli...
hayo ni mafunzo kwa wanandoaMh hiyo avatar yako child mole au?