Kashaijabutege JF-Expert Member Joined Oct 20, 2010 Posts 2,696 Reaction score 740 Jan 4, 2011 Thread starter #21 JoJiPoJi said: Nitaona kawaida tu, vitu vingine ni kuvipotezea tu ili uishi kwa amani Click to expand... Utamuacha aende 'kitchen party' nawe ukae kimya bila kusema lolote?
JoJiPoJi said: Nitaona kawaida tu, vitu vingine ni kuvipotezea tu ili uishi kwa amani Click to expand... Utamuacha aende 'kitchen party' nawe ukae kimya bila kusema lolote?
K kisukari JF-Expert Member Joined Jul 16, 2010 Posts 4,603 Reaction score 4,119 Jan 4, 2011 #22 nitamwambia nenda.lakini usirudi,kalale huko huko.Baadae unampa ukweli wake,mnaachana maana huwezi kushindana na rais.{jamani hii story ni ya kweli?}
nitamwambia nenda.lakini usirudi,kalale huko huko.Baadae unampa ukweli wake,mnaachana maana huwezi kushindana na rais.{jamani hii story ni ya kweli?}
B Baija Bolobi JF-Expert Member Joined Feb 25, 2009 Posts 1,093 Reaction score 1,733 Jan 4, 2011 #23 kisukari said: nitamwambia nenda.lakini usirudi,kalale huko huko.Baadae unampa ukweli wake,mnaachana maana huwezi kushindana na rais.{jamani hii story ni ya kweli?} Click to expand... ===== Ukitaka kujua hii ni story ya kweli peleleza ndoa za wana mama wote wanaofanya kazi Ikulu kwa sasa. Anza na Premi Kibanga atakupa story nzima.
kisukari said: nitamwambia nenda.lakini usirudi,kalale huko huko.Baadae unampa ukweli wake,mnaachana maana huwezi kushindana na rais.{jamani hii story ni ya kweli?} Click to expand... ===== Ukitaka kujua hii ni story ya kweli peleleza ndoa za wana mama wote wanaofanya kazi Ikulu kwa sasa. Anza na Premi Kibanga atakupa story nzima.