Ricky Blair
JF-Expert Member
- Mar 13, 2023
- 463
- 1,009
Umemaliza, nichekiSasa cha ajabu nini hapo cute? Waache,wakichokana wataachana.....hata Kama dada yako ataachwa it’s okay....nothing is permanently
Either sex; nipe majibu ya either sex😂Huyo sterling hapo aliyetajwa mwenye dada, shem na best friend wa kike ni wa kiume au wa kike?
heee,Umegundua shemeji yako(mume wa dada yako) anatoka kimapenzi na bestfriend wako wa kike😳😳😳 na hawajui kwamba wewe unajua.
Unafanyaje? Una mconfront bestie yako au shem? Au unaenda kumuambia dada yako?😫😫😫
Nisaidie wana JF🤐
Umegundua shemeji yako(mume wa dada yako) anatoka kimapenzi na bestfriend wako wa kike😳😳😳 na hawajui kwamba wewe unajua.
Unafanyaje? Una mconfront bestie yako au shem? Au unaenda kumuambia dada yako?😫😫😫
Nisaidie wana JF🤐
Kuna wanaume kibao wana marafiki wa kike; usizungumzie wanaume 4 billion duniani; jizungumzie peke yakoHakunaga urafiki baina ya Mwanamke na mwanaume isipokuwa upenzi, uchumba na mke full stop.
Ungeuliza, ikitokea shemejio(mume wa dadaako) akimla mchumbaako unafanyaje? Nafikiri ndio lingekuwa swali zuri.
Urafiki baina ya ke na me ni urafiki fikirishi.Kuna wanaume kibao wana marafiki wa kike; usizungumzie wanaume 4 billion duniani; jizungumzie peke yako
Kuna wanaume kibao wana marafiki wa kike; usizungumzie wanaume 4 billion duniani; jizungumzie peke yako
Swali nilikuwa nalitafuta hili nimeliona sasa,,, Maana kama ni mwanaume sisi huwa tunafichiana siri ata iweje ingawa siku hizi kuna baadhi ya wanaume ubwabwa ubwabw ila kwa wanawake hapo jamaa ameisha hawana siri hawa viumbeHuyo sterling hapo aliyetajwa mwenye dada, shem na best friend wa kike ni wa kiume au wa kike?
Naona umekuwa wa mjini mjini skuiziSasa cha ajabu nini hapo cute? Waache,wakichokana wataachana.....hata Kama dada yako ataachwa it’s okay....nothing is permanently