msema_kweli
Senior Member
- Nov 6, 2013
- 178
- 102
Makubwa kwa madogo ninauzoefu wa zaidi ya miaka tisa kwenye udereva ufundi na zaidi ya miaka 18Wanafunzi Wa veta wanapataga tabu sana wanapokuja kwenye vitendo akitokea darasani .una uzoefu Wa magari gani?
Sent using Jamii Forums mobile app