Plot4Sale Ukihitaji kiwanja/shamba Jijini Mwanza usisite kunitafuta

Ramon Abbas

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2021
Posts
1,964
Reaction score
3,913
Habari JF?

Mimi nahusika na kutafutia watu viwanja na mashamba, nawaunganisha na wauzaji kwa bei nafuu kabisa.

Kwa sasa nina kiwanja maeneo ya kisesa karibu na round about ya usagara, mita 200 kutoka lami.
Size yake ni 25*30
Miundo mbini yote ipo, umeme na maji yapo karibu

Bei yake ni 1.5mil.

Kiwanja kingine kipo Buswelu Kahama, size ni 35*40
Ni maeneo ya sentani alipojenga Angelina Mabula (wanapaita kwa Angelina Mabula)

Miundombinu yote ipo

Bei ni 4.5million

Ntaendelea ku update kadri ninavyopata maeneo.

Tuwasiliane 0713096076
 
Kisesa halafu round about ya usagara mmmmh
Sijakuuelewa ndg
Kisesa=njia ya kwenda magu
Usagara= shinyanga road
¿¿?
 
Back
Top Bottom