Inabidi tufocus kwenye maendeleo kwanza mkuu hawa viumbe hawaishi wapo tu. wanatufilisi sanaAhahahaaaa [emoji12][emoji3][emoji23][emoji1787]. Enzi zetu kulikuwa na wimbo wa mKenya moja (Ka K Kilonzo) unaitwa ukijulikana kama "HESABU GHARAMA"
Sasa vyuma vimekaza mpaka watu wanahesabu gharama bhuaana [emoji12][emoji1787]. Acha roho mbaya leya bhuaana
[emoji28] mkuu kuna vitonga mitaani unapiga bila kuhonga mbona ujanja wako tu
Nimeipenda hii, kwahiyo unatushauri tunapohonga wanawake tunakuwa tumewawezesha kimoja wapo kati ya hivyo ulivyotajaKuna sehemu nimelipata hili wadau nikaona nililete hapa jamvini kwamba eti ukihonga elfu 10 ni sawa na
1.Kuku nyama1
2.Nyama ya ng'ombe 1.5kg
3.Sukari 3kg
4.Mchele super 4kg
5.Maziwa ng'ombe 4Lt
6.Soda T-away10
7.Castle lt4
8.Petrol 4lt
9.Safari 14 mwendokasi
10.Mayai kisasa 1tr
11.Umeme unit 28
12.Nauli ya Dar Moro na chenji.
Nimeiwasilisha kama nilivyoipata
Niliwahi sema , kama wewe ni mwanaume pambana kumiliki pesa hawa viumbe wanaoanza na K watajileta wenyewe bila kuitwa ukiwa na pesa kwenye mtaa wako wanawake wote wanakukubali mpaka wake za watu wanapenda kukutolea mfano wakiwa kwenye mabishano na waume zao, utasikia mwanamke anamtamukia mume wake si uwe kama Fulani kwasababu una pesaInabidi tufocus kwenye maendeleo kwanza mkuu hawa viumbe hawaishi wapo tu. wanatufilisi sana
Nakubaliana na wewe chief kwa asilimia zoteNiliwahi sema , kama wewe ni mwanaume pambana kumiliki pesa hawa viumbe wanaoanza na K watajileta wenyewe bila kuitwa ukiwa na pesa kwenye mtaa wako wanawake wote wanakukubali mpaka wake za watu wanapenda kukutolea mfano wakiwa kwenye mabishano na waume zao, utasikia mwanamke anamtamukia mume wake si uwe kama Fulani kwasababu una pesa
Kuna sehemu nimelipata hili wadau nikaona nililete hapa jamvini kwamba eti ukihonga elfu 10 ni sawa na
1.Kuku nyama1
2.Nyama ya ng'ombe 1.5kg
3.Sukari 3kg
4.Mchele super 4kg
5.Maziwa ng'ombe 4Lt
6.Soda T-away10
7.Castle lt4
8.Petrol 4lt
9.Safari 14 mwendokasi
10.Mayai kisasa 1tr
11.Umeme unit 28
12.Nauli ya Dar Moro na chenji.
Nimeiwasilisha kama nilivyoipata