kidadari
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 8,647
- 9,604
Endapo mtu atahukumiwa kifungo cha nyumbani na anaishi chumba cha kipanga hapo utekelezaji wa hukumu unakua je?
Mke/mume wanaruhusiwa kuishi kwenye hiyo nyumba au wanatolewa?
Mahitaji anakuhudumia nani kama kodi umeme chakula na maji?
Unapewa walinzi wa kukuzuia usitoke nyumbani au ni amri tuu?