Sasa ukiziliwa nyumbani mke/mume na watoto wanatolewa kwenye hiyo nyumba?Anakua anapata adhabu inayoitwa emotional pain pia hawezi kukutana na watu wake wa karibu, hawezi kwenda kwenye biashara zake, kujimwaga na mpenzi wake kwa hiyo ni full mateso japo hakuna anaekugusa ila cha moto utakiona.
Pia anakua kazuiwa kufanya zile shughuli zake alizokua akifanya awali.
Kwani unaambiwa usitoke nyumbani au unapewa walinzi wa kukuzuia usitoke?Aisee nimependa mawazo yako. Hahaaa....sasa usiombe kodi imeisha na wewe pesa huna na mwnyenyumba anataka kukufukuza. Hapo huwezi kwenda hata mahakamani au polisi kwa sababu utakuwa umetoroka gereza la nyumbani hahaa