Kwa watu mashuhuri, hata mtoto anaweza akamfahamu, sembuse mtu mzima.
Mtoto wa miaka mitano, anaweza akawa hajawahi kukutana na mama Samia, lakini ikitokea amekutana naye sehemu, atatambua huyo ndiye Mama Samia ambaye amekuwa akimwona kwenye TV.
Si shida kufahamu ilipo ofisi ya mtu mashuhuri. Hata kwa kuulizia tu, unaweza kuifahamu.
[/QUOTE
Hamna kitu,hizo stori tu za kujiaminisha.....amkeni mfanye kazi Kwa bidii mtafikia ndoto zenu
Sijawahi kukutana na Mzee Kikwete, lakini ikitokea nimemkuta mahali, sitahitaji kujulishwa kuwa huyo ndiye Mzee Kikwete. Watu maarufu wanafahamika!Mantiki ingekuwa ni je, alijuaje kuwa Ziglar ndiye aliyemuambia hayo maneno? Je, walipata nafasi ya kufahamiana kwa majina? Kama ndiyo, sawa.
Shibisha imani yako wewe. Ili utusue majackpot 🤣🤣🤣🤣🤣Imani pasipo matendo imekufa...Vijana wafanya kazi
Nashauri vijana mfanye kazi kufikia ndoto zenu,kujiaminisha huku hujachukua hatua ya kujikwamua ni kazi bureKwa watu mashuhuri, hata mtoto anaweza akamfahamu, sembuse mtu mzima.
Mtoto wa miaka mitano, anaweza akawa hajawahi kukutana na mama Samia, lakini ikitokea amekutana naye sehemu, atatambua huyo ndiye Mama Samia ambaye amekuwa akimwona kwenye TV.
Si shida kufahamu ilipo ofisi ya mtu mashuhuri. Hata kwa kuulizia tu, unaweza kuifahamu.
Siamini kabisa kwenye bingo,,,🤣naamini kwenye hardworking........Kama unabisha kaa nyumbani kwako huku ukiamini utakuwa Mo Dewji bila mipango yeyote...Shibisha imani yako wewe. Ili utusue majackpot 🤣🤣🤣🤣🤣
Ndiyo, ni kazi bure kabisa. Hata ukitengewa chakula, lakini ukaishia tu kuamini bila ya kuchukua hatua ya kukila, utaishia kufa kwa njaa mbele ya chakula.Nashauri vijana mfanye kazi kufikia ndoto zenu,kujiaminisha huku hujachukua hatua ya kujikwamua ni kazi bure
We hujui mambo ya nilianza na manyoya matano Sasa Nina kuku elfu tano😢😢Story siijui lakini it is quietly very simple kwa logic ya kawaida.
Ni mfanyabiashara anayefundisha watu biashara. Maana yake ni mtu anayejulikana. Address za ofisi ni kitu public. Anybody can access at any time.
Mantiki ingekuwa ni je, alijuaje kuwa Ziglar ndiye aliyemuambia hayo maneno? Je, walipata nafasi ya kufahamiana kwa majina? Kama ndiyo, sawa.
Ushasoma "The secret"?Cha Rhonda Byrne ndio kina hizi blahblah.....Ndiyo, ni kazi bure kabisa. Hata ukitengewa chakula, lakini ukaishia tu kuamini bila ya kuchukua hatua ya kukila, utaishia kufa kwa njaa mbele ya chakula.
Ndiyo maana huyo omba omba, alipotiwa moyo na Zig Ziglar, aliamini na kuchukua hatua na hatimaye akawa mfanyabiashara mwenye mafanikio.
Hata kwenye Biblia, kuna wakoma wanne waliohatarisha maisha yao, kwa kutenda kinyume na logic zao ila sawasawa na imani zao, na wakapona njaa wao na Taifa lao.
Uko sahihi kabisa! Amini, kisha chukua hatua.
Nimesoma THE SECRET, THE LAW OF SUCCESS, HOW YOU CAN GET RICHER QUICKER, THOUGHTS TO BUILD, HERE'S HELP, THE RICHEST MAN IN BABYLON, na vingine vingi, more than four hundred books.Ushasoma "The secret"?Cha Rhonda Byrne ndio kina hizi blahblah.....
Inahusianaje na uzi husika?We hujui mambo ya nilianza na manyoya matano Sasa Nina kuku elfu tano😢😢
Hapo umenizidi viwili,The richest man in Babylon pamoja bible Nimesoma vyote,Ila bado sijawa yule ninayetaka kuwa bado najitafuta kwa kupambana na ulimwenguNimesoma THE SECRET, THE LAW OF SUCCESS, HOW YOU CAN GET RICHER QUICKER, THOUGHTS TO BUILD, HERE'S HELP, THE RICHEST MAN IN BABYLON, na vingine vingi, more than four hundred books.
Why do you call it blahblah!
By the way, kabla sijakisoma hicho, tayari nilikuwa ninayafahamu hayo mambo. They are all in the Bible.
I firstly acquainted them through the Bible, before I ever read anywhere else.
Nimeyaona! I experienced them, first hand experience!
If you can't believe, don't assume huo ndiyo uhalisia kwa kila mtu. No! It's not so!!!
Kumbe na wewe ni msomaji wa Vitabu! Hongera!!!Hapo umenizidi viwili,The richest man in Babylon pamoja bible Nimesoma vyote,Ila bado sijawa yule ninayetaka kuwa bado najitafuta kwa kupambana na ulimwengu
🙏🙏🙏Nimejifunza jambo, asante mkuu.
,Kumbe na wewe ni msomaji wa Vitabu! Hongera!!!
"Mshua" wako anastshili pongezi nyingi sana!!!Tena nasoma hardcopy,niliadopt kwa mshua wangu,ana tabia anasoma kitabu akimaliza ananipasia,
Napenda harufu ya kitabu😀
,
???!!!nimeishia katikati
Upeo, lifestyles,na reasoning ya mtu anayesoma vitabu huwezi fananisha na mtu asiyesoma vitabu hata kwa asilimia 2."Mshua" wako anastshili pongezi nyingi sana!!!
Lakini unavionaje vitabu, vina msaada wo wote kwako?