Wewe ni mkosoaji au muwazaji?
Sasa nakwambia ugunduzi tunaoufanyia utafiti na tunao udrafiti nikufika marekani ndani ya nusu saa, ili tukamilishe ile kauli ya dunia kijiji
Wewe ni mkosoaji au muwazaji?
Sasa nakwambia ugunduzi tunaoufanyia utafiti na tunao udrafiti nikufika marekani ndani ya nusu saa, ili tukamilishe ile kauli ya dunia kijiji
Kwahyo we unatakaje saivi mimba zibebwe na wanaume ndo ujue kuwa ni ugunduzi mpya au? Maana sisi hata tukitumia umeme ule aliowahi kuutumia babu ila tukautumia kwenye kubuni vitu vipya inakuwa hatuna ubunifu kisa tumetumia umeme ambao wao pia waliwahi kuutumia?