Ukiibiwa simu usijisumbue kwenda kulipa hela ili waitrack utaliwa bure, teknolojia hii Tanzania bado sana

Ukiibiwa simu usijisumbue kwenda kulipa hela ili waitrack utaliwa bure, teknolojia hii Tanzania bado sana

Tman900

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2017
Posts
589
Reaction score
1,897
Kuna makampuni, na watu Binafsi ni wezi wa kimya kimya, pia ukijaa kwenye mfumo wanakuibia.

Tarehe 16, Nikaenda polisi, kila siku Longo longo. nikawachek hawa makampuni Binfsi wanataka pesa kabla ya kazi.

Pia soma: Ilikuwaje ukaibiwa simu??


Ila nilipowasikiliza Vizuri hawa jamaa, nikaona Moja kwa moja napoteza pesa yangu.
simu imeibiwa na Pesa Pia Naibiwaa. Kibongo bongo sisi kwenye Techinology ya kutrack simu Bado sana, hata hao tunaowaamini kua wanaweza mi kwa mtazam wangu bado nawaona mazwa tu hawanalolote wanaloweza zaidi ya kutunisha misuri. kwenye swala la akili tutasubili sana.

Techinology iko uko Mambele sio kwenye hizi nchi za ngozi nyeusi na watu wa kusadikika kila kitu tunauziwa hatuna jambo tulilolibuni, au kuanzisha likafanikiwa kwa 100%..kujiongoza tu Hatuwezi tutaweza kuanyabmambo yabakili kubwa kama haya.

NOTE: Ukiibiwa simu usingaike kuitafuta butaibiwa tu Pesa zako na nhawa Polisi, na Vikampuni uchwala Vinavyodai wanaweza kutrack simu, sio kweli.

nimetumia siku 30. Kutafuta mtu atakae Track simu yangu na malipo yawe Baada ya kazi wote wanakataa wanataka malipo kwanza, Hii ndo njia ya kupoteza Pesa, Kutrack simu Hawawezi ni ujanja ujanja tu unatumika Hakulolote
 
Hakuna nchi inayotrack simu kwa sababu za kipumbavu kama kuibiwa, kama unataka kutrack inabidi wewe mwenyewe uweke app ya kutrack kabla ya kuibiwa au utumie zile built in, na tracking haina uhakika kwa sababu mbalimbali kama network na gps, bora upige lock/wipe uendelee na shughuli zengine.
 
Back
Top Bottom