Uwesutanzania
JF-Expert Member
- Feb 9, 2019
- 1,615
- 1,901
Sawa mzeeInategemea na juhudi, jitihada , bidii, maarifa, bahat, kipaji na malengo.
Unaweza ukajitahidi kufanya kazi na ukajibana kama mtumwa na bado ukafika uzeen na ukawa bado sio mfalme.
Ni kweli hatujui mwisho wetu,
Mungu atupe mwisho ulio mwema.