Amicus Curiae
JF-Expert Member
- Sep 12, 2012
- 5,351
- 7,639
Si kila anayetembea na wallet ameweka hela, wengine wanaweka hadi hirizi
Bagah kwanini wa hapa anaibeba???
wakwetu anabeba kwa ajiri ya kuwekea pipi za watoto.
Eti Rais wa Nchi anatembea na Wallet ya kuhifadhia fedha? Ya nini sasa wkt kila anapokwenda anakuta kaandaliwa kila kitu...
Labda ela ya kumtumia Mchepuko wakeEti Rais wa Nchi anatembea na Wallet ya kuhifadhia fedha? Ya nini sasa wkt kila anapokwenda anakuta kaandaliwa kila kitu...