Ukija na kishkwambi chako hata kwa 200 Mbili sinunui

Checnoris

Senior Member
Joined
Aug 21, 2022
Posts
123
Reaction score
269
Nawashangaa Sana wanaokwapua tablet maarufu kwa kimombo kishkwambi.

Jamani sensa itatusaidia sote mnaiba za nini. Mkatumie bando mnalo?

Kwa kweli ukija hata ukinishia tablet nakwepa. Begi langu nalinda asije mwizi akanichomekea mtu.

Ukija na kishkwambi chako hata kwa 200 Mbili sinunui.
 
Nawashangaa Sana wanaokwapua tablet maarufu kwa kimombo kishkwambi.

Jamani sensa itatusaidia sote mnaiba za nini. Mkatumie bando mnalo??
Kwa kweli ukija hata ukinishia tablet nakwepa. Begi langu nalinda asije mwizi akanichomekea mtu.

Ukija na kishkwambi chako hata kwa 200 Mbili sinunui.
Hutaki tablets nzuri kwa bei ya kutupa acha uoga

Mbona gps inatolewa tu ile kiroho safi

Uoga wako ndio umaskini wako
 
Sasa sensa inasaidia Nini? Ingekuwa na Nia NZURI wangeishia kuhoji majina na mpo wangapi mnaishi hapa ndani basi lakini Kwa maswali haya mjiandae Kwa kitu kizito Cha TOZO
 
wee acha kupotosha basi,ninyi mkikutwa kwa vijiwe vya kahawa ndo huwa mnaongea sana hadi povu.Kwani sahivi kwa utitiri huu wa tozo ni matokeo ya sensa gani?

mfano ukiulizwa juu ya ulemavu wako holo nalo tatizo?
Mi niseme tu,serikali ikiamua kukubambikia tozo na kodi inaweza bila hata sensa so usichanganye madesa asee!!
 
Wewe ulemavu Ili isaidie Nini? Kwa effort gani serikali iliyonayo imekaa kipigaji pigaji Kila siku inazidi ongeza ugumu wa maisha Kwa wananchi ambao haiwasaidii inashndwa kuchukua hata mgodi mmoja uendeshwe na serikali kupunguza ugumu wa maisha HII SERIKALI NI VIVU SANA
 
Sasa sensa inasaidia Nini? Ingekuwa na Nia NZURI wangeishia kuhoji majina na mpo wangapi mnaishi hapa ndani basi lakini Kwa maswali haya mjiandae Kwa kitu kizito Cha TOZO
Tena mkimaliza anaaga akisema atarudi tena, naona wakirudi watarudi na namba ya mkeka wa kuliipia tozo,
Yaani mimi tutasumbuana sana na hii serikali,hela yangu hawapati hawa watu .najuta hata kuhesabiwa
 
Sasa sensa inasaidia Nini? Ingekuwa na Nia NZURI wangeishia kuhoji majina na mpo wangapi mnaishi hapa ndani basi lakini Kwa maswali haya mjiandae Kwa kitu kizito Cha TOZO
Jamaa aliniachia formu ya sensa toka juzi hadi Leo hajarudi.
 
Kwanza makarani design flan Kama Wana mfadhaiko flani Hivi hawajielew
mpaka sasa awana imani kama kweli watamaliziwa kiasi kilicho baki,unajua upigaji ni mkubwa sana pesa zinatoka alafu zinapigwa juu kwa juu.
 
Me ningependa wasipewe Ili akili ziwasogee next time maana watu wameendekeza njaa sana
 
Back
Top Bottom