Hutaki tablets nzuri kwa bei ya kutupa acha uogaNawashangaa Sana wanaokwapua tablet maarufu kwa kimombo kishkwambi.
Jamani sensa itatusaidia sote mnaiba za nini. Mkatumie bando mnalo??
Kwa kweli ukija hata ukinishia tablet nakwepa. Begi langu nalinda asije mwizi akanichomekea mtu.
Ukija na kishkwambi chako hata kwa 200 Mbili sinunui.
Hutaki tablets nzuri kwa bei ya kutupa acha uoga
Mbona gps inatolewa tu ile kiroho safi
Uoga wako ndio umaskini wako
wee acha kupotosha basi,ninyi mkikutwa kwa vijiwe vya kahawa ndo huwa mnaongea sana hadi povu.Kwani sahivi kwa utitiri huu wa tozo ni matokeo ya sensa gani?Sasa sensa inasaidia Nini? Ingekuwa na Nia NZURI wangeishia kuhoji majina na mpo wangapi mnaishi hapa ndani basi lakini Kwa maswali haya mjiandae Kwa kitu kizito Cha TOZO
Wewe ulemavu Ili isaidie Nini? Kwa effort gani serikali iliyonayo imekaa kipigaji pigaji Kila siku inazidi ongeza ugumu wa maisha Kwa wananchi ambao haiwasaidii inashndwa kuchukua hata mgodi mmoja uendeshwe na serikali kupunguza ugumu wa maisha HII SERIKALI NI VIVU SANAwee acha kupotosha basi,ninyi mkikutwa kwa vijiwe vya kahawa ndo huwa mnaongea sana hadi povu.Kwani sahivi kwa utitiri huu wa tozo ni matokeo ya sensa gani?
mfano ukiulizwa juu ya ulemavu wako holo nalo tatizo?
Mi niseme tu,serikali ikiamua kukubambikia tozo na kodi inaweza bila hata sensa so usichanganye madesa asee!!
We endelea na uoga wako Tutauzia WengineNi kweli uoga wangu ndio umaskini wangu ila kishikwambi hakiwezi kumaliza umaskini wangu ni upuuzi kama upuuzi mwingine tu
Tena mkimaliza anaaga akisema atarudi tena, naona wakirudi watarudi na namba ya mkeka wa kuliipia tozo,Sasa sensa inasaidia Nini? Ingekuwa na Nia NZURI wangeishia kuhoji majina na mpo wangapi mnaishi hapa ndani basi lakini Kwa maswali haya mjiandae Kwa kitu kizito Cha TOZO
Jamaa aliniachia formu ya sensa toka juzi hadi Leo hajarudi.Sasa sensa inasaidia Nini? Ingekuwa na Nia NZURI wangeishia kuhoji majina na mpo wangapi mnaishi hapa ndani basi lakini Kwa maswali haya mjiandae Kwa kitu kizito Cha TOZO
Kwanza makarani design flan Kama Wana mfadhaiko flani Hivi hawajielewJamaa aliniachia formu ya sensa toka juzi hadi Leo hajarudi.
mpaka sasa awana imani kama kweli watamaliziwa kiasi kilicho baki,unajua upigaji ni mkubwa sana pesa zinatoka alafu zinapigwa juu kwa juu.Kwanza makarani design flan Kama Wana mfadhaiko flani Hivi hawajielew
Me ningependa wasipewe Ili akili ziwasogee next time maana watu wameendekeza njaa sanampaka sasa awana imani kama kweli watamaliziwa kiasi kilicho baki,unajua upigaji ni mkubwa sana pesa zinatoka alafu zinapigwa juu kwa juu.