Chachasteven
JF-Expert Member
- Jul 4, 2014
- 1,941
- 2,044
Mimi ni mhitimu wa kidato cha sita mchepuo PCB. Je, kutakuwa na effect yoyote endapo ntakapoomba TCU na kuweka kozi ya Ualimu mwishoni. Nasikia hata kama ukipata division One ukijaza Education hata mwishoni unachaguliwa nayo. Je, ni kweli?!!
Nataka kwenda JKT nkiwa nnafahamu hili swala.
huwa naumia sana kuckia kuwa eti education ni ya waliofel,
wakati mim nimechomoka na dvsn one ya EGM then facult niliopenda ni AGRICULTURAL ECONOMICS AND AGRIBUSINES na nyingnezo. then last nikaweka education nikakuta wamenichagua ya mwshon ie eductn so, wanavosema ualim ni waliofel huwa najiulza swali hiv aliyefaulu ni yule aliyepata division ngap?
Mimi ni mhitimu wa kidato cha sita mchepuo PCB. Je, kutakuwa na effect yoyote endapo ntakapoomba TCU na kuweka kozi ya Ualimu mwishoni. Nasikia hata kama ukipata division One ukijaza Education hata mwishoni unachaguliwa nayo. Je, ni kweli?!!
Nataka kwenda JKT nkiwa nnafahamu hili swala.
Unaanza kukwepa education hata matokeo hujapata..
Faulu kwnza, unajisemea tu hpa.. Ukishapata matokeo mabovu utapeleka barua ya kuomba dip ya ualim mwnyewe.