Ukijijua kuwa umeharibu katika Serikali ya Awamu ya Tano na unataka kutumbuliwa, basi umwonapo tu Mtumbuaji Mkuu ongozana na Askofu, hakutumbui ng'o!

Mzukulu

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2020
Posts
1,401
Reaction score
2,641
" Nimeambiwa hata Mkurugenzi wa hapa ana matatizo ajirekebishe, siwezi nikamtumbua mbele ya Askofu, madhambi yake anayajua ameuza eneo kule, kikao kikakaa na mkataba alisaini kwa Tsh Mil 225 na kwa taarifa za pembeni ziliingizwa Mil 400 " - Rais
@MagufuliJP

Mzukulu nilikuwa sijui kumbe nchini Kwetu Tanzania Watu pekee ambao Mtumbuaji Mkuu si tu anawaheshimu ila anawaogopa pia ni Maaskofu?
 
Katika maisha kuna watu wna bahati sana sasa huwezi shindana na mtu wa namna hiyo lakini mkuu alitumia kama kibwagizo tu sio kweli kuwa askofu alimzuia kumtumbua muhusika.
 
Mwizi anasamehewa mzinzi ambae anafanya starehe zake anatumbuliwa.
 
Mh.Magufuli ni mtu wa utani Sana...ameamua KUMKUMBUSHA HADHARANI kwa kuutumia utani tu.....huku akimweka kiporo.

Unakumbuka ALIVYOPATA kumwonya ndg.yetu Mtela?
 
ndio hvyo mkuu.
Magufuli hatabiriki na hakuna cha kumtisha au kumzuia akiamua kufanya jambo lake.
Mh.Magufuli ni mtu wa utani Sana...ameamua KUMKUMBUSHA HADHARANI kwa kuutumia utani tu.....huku akimweka kiporo.

Unakumbuka ALIVYOPATA kumwonya ndg.yetu Mtela?
 
Huyu magu nafikiri hata uenyekiti wa kijiji hafai.
 
Nataman

Natamani nikijue hicho Kijiji chenu Maana hwenda ni vile vijiji MTU AWAPO KAZINI SEHEMU YA KULA ASIPOIBA huchekwa,kusimangwa na kutukanwa.
 
Umeshamuandaa Askofu lakini Ndugu ili akikurudia aogope Kukutia Adabu kwa Kumwambia Kwako hivi? Nadhani unamjua hapendi Kukosolewa.
 
Ni mjinga tu ndio anaweza kusapoti uongozi mbovu tulionao hivi sasa. Najua hapendi kukosolewa kwasababu ya madhaifu makubwa aliyonayo na ndio maana anawatia hofu watu wote ili asije akakosolewa kwani anatenda hovyo hovyo mno. Malawi wametuonesha njia ipo siku.
 
Malawi Malawi malawi...
Hv unaweza kutaka watanzania tujifunze kwa wamalawi?!!!

Labda tujifunze ULEVI NA UVIVU WAO ULIOPITILIZA.....

Magufuli anasema HAPA KAZI TU nyinyi mnang'ang'ania FARU JOHN ile hatimiliki ya "mh.mwenyekiti".
 
Ndipo tulipofika siku hizi hata Malawi wametupita kwa mbali.
 
Watu mnapenda kuchukua maneno kama yalivyo utafikiria hamjitambui

Wewe umeanza lini Kujitambua uwapo hapa Jamvini JamiiForums Ndugu kwani wote hapa tunakujua kuwa Kichwani mwako kumejaa Upepo tu?
 
Back
Top Bottom