Tumzowee tu,sasa tutafanyaje na kufupisha hawezagi huyu nyumbu wa ufipa.Mkuu kila heading zako za thread ni ndefu sana.
Yaani unadhani atatoboa kwa kashfa hzo....Mwizi anasamehewa mzinzi ambae anafanya starehe zake anatumbuliwa.
Mwizi anasamehewa mzinzi ambae anafanya starehe zake anatumbuliwa.
Mh.Magufuli ni mtu wa utani Sana...ameamua KUMKUMBUSHA HADHARANI kwa kuutumia utani tu.....huku akimweka kiporo.
Unakumbuka ALIVYOPATA kumwonya ndg.yetu Mtela?
Natamani nikijue hicho Kijiji chenu Maana hwenda ni vile vijiji MTU AWAPO KAZINI SEHEMU YA KULA ASIPOIBA huchekwa,kusimangwa na kutukanwa.Huyu magu nafikiri hata uenyekiti wa kijiji hafai.
Nataman
Natamani nikijue hicho Kijiji chenu Maana hwenda ni vile vijiji MTU AWAPO KAZINI SEHEMU YA KULA ASIPOIBA huchekwa,kusimangwa na kutukanwa.
Ni mjinga tu ndio anaweza kusapoti uongozi mbovu tulionao hivi sasa. Najua hapendi kukosolewa kwasababu ya madhaifu makubwa aliyonayo na ndio maana anawatia hofu watu wote ili asije akakosolewa kwani anatenda hovyo hovyo mno. Malawi wametuonesha njia ipo siku.Umeshamuandaa Askofu lakini Ndugu ili akikurudia aogope Kukutia Adabu kwa Kumwambia Kwako hivi? Nadhani unamjua hapendi Kukosolewa.
Malawi Malawi malawi...Ni mjinga tu ndio anaweza kusapoti uongozi mbovu tulionao hivi sasa. Najua hapendi kukosolewa kwasababu ya madhaifu makubwa aliyonayo na ndio maana anawatia hofu watu wote ili asije akakosolewa kwani anatenda hovyo hovyo mno. Malawi wametuonesha njia ipo siku.
Ndipo tulipofika siku hizi hata Malawi wametupita kwa mbali.Malawi Malawi malawi...
Hv unaweza kutaka watanzania tujifunze kwa wamalawi?!!!
Labda tujifunze ULEVI NA UVIVU WAO ULIOPITILIZA.....
Magufuli anasema HAPA KAZI TU nyinyi mnang'ang'ania FARU JOHN ile hatimiliki ya "mh.mwenyekiti".