balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 16,841
- 15,673
Tatizo ni kilaza kujijua ye ni kilaza na akakubali kuwa yeye ni kilazaNakwambia ukijijua we ni kilaza tafuta watu wenye akili,tafuta watu wenye maarifa wakuzunguke wawe washauri wako
itakuwa faida kwako.
Kama we ndio boss wao hata wakiku-outshine usijali maana Wana faida kwako and you are still the boss.
Shida ni pale unavyojijua we ni kilaza halafu unachagua vilaza wenzio ili tu wasije kukuoutshine na kukuzidi hapa ama pale sababu we ndio boss,wale wenye akili unawatupia kule..unajivua nguo!
Ukikwama unaenda kuomba solution Kwa jopo lako la vilaza na wao wakijua wenyewe hawajui,ushauri wanaokupa unakuja kuufanyia kazi hadharani unatarajia Nini?
Ni ngumuTatizo ni kilaza kujijua ye ni kilaza na akakubali kuwa yeye ni kilaza
Tatizowanajiona Wana akili Kulikov wengine,unafikiri Chura kiziwi anajua na kukkubali kwamba yeye ni kilaza?Ni ngumu
Lakini ukikaa na wengine bila kubagua utagundua umepungua mahali utajifunza utofauti
Good morning too sister AbigailGood morning mbaga
Hata km aliwahi kuamka mbona kufungua mlango hawezi.Jamaa akasema
"Kuku anayejiona ndiye mwenye akili kuliko wote kwa sababu ameamka kabla ya wengine, hajui kwamba wengine waliamka kimya kimya wakamuona akitafuta nafaka kwenye giza".
Naomba unielewe nisome kwa utulivu tu that's whyHata km aliwahi kuamka mbona kufungua mlango hawezi.
Nimekuelewa mkuu fasihi miye nimechombeza tuuu.Naomba unielewe nisome kwa utulivu tu that's why
“Jogoo anayewika juu ya paa akidhani sauti yake ndiyo sheria ya kijiji, asisahau kwamba jua likizama hurudi chini kutafuta chakula pamoja na wale aliowadharau.”