Ukijishusha mateso yanazidi

Ukijishusha mateso yanazidi

my name is my name

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2015
Posts
2,016
Reaction score
2,397
Nimesikia wimbo Diamond pia kaimba anasema ukijshusha mateso yanazidi aloniliza ndo wa kunifariji. Mimi sijaelewa how alokuliza ndo akufariji? Kama ameimba knyume coz alokuliza aweza kukufariji we umeelewa nini.
 
Share tuusikilize, wengine tuko mbali na ulimwengu huo
 
maji ya moto yamekua baridii lalalaaaaa
hakimu nimekua shahidi lalalalaaa
ukijishusha mateso yanazidi lalalaaa
aloniliza ndo wakunifariji......
 
Back
Top Bottom