Ukijiunguza Uume na pasi ya Mkaa/Umeme wakati unayoosha first aid yake ni nini?

Haiwezekani,unanyoosha uchi?lazima huo ni mfumanio tu jamaa wakaunguza dushe.angalia tu mishipa isipate shida!
 
Duh.... hilo PANGUSA mkuu, pasi imefikaje huko? Au ulibambwa unatumia kiuno cha mtu.
 
Ita zima mtoto... wakupige na maji ya washa washa... ukitoka hapo p.m.b.u zote kama ndala...
 
Ita zima mtoto... wakupige na maji ya washa washa... ukitoka hapo p.m.b.u zote kama ndala...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Siliba Colgate kwenye dushe. Hizi ajali nyingine duh!

Kichwa cha Habari kimeshajitosheleza naombeni tu 'mtiririke ' ili tupeane ' maujanja ' ya tiba kama kuna mwenye uzoefu na hizi aina za ' majanga ' ya bahati mbaya.
 
Wakati naanza kazi hospital, nilidhani itakuwa sehemu mbaya sana kufanyia kazi, ila ikawa tofauti, hospitali kuna mambo bwana twaongeza siku tu
 
mwagia maji ya baridi kwa wingi inatosha kumaliza maumivu kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…