The Lost Boy
JF-Expert Member
- Nov 24, 2020
- 248
- 311
Salamu wanajamvii.
Kila mtu ana mambo au aibu ambazo angependa zibaki kwake tu kwa maana zisijulikane kwa wengine.
AmakIkiwa siku siku utabahati Kusikia aibu ya mwenzako basi jizati ubakie nayo, Usianze kuisambaza kwa kila mtu
Leo utaona Sifa kusambaza iabu za watu kesho zako nazo zitasambazwa.
MAISHA HAYA YANA KUNGA