johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Nisingependa kukuchosha kwa kukuandikia notes bali wewe mwenyewe google ujifunze maana ya Taifa ( nation), Nchi( country) na Serikali ( government)
Ukichambua kimakini utagundua pale TANU na ASP zilipoungana tukawa na Utamaduni Mmoja wa kisiasa kimsingi hata Serikali ikawa ni Moja tu hii ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
SMZ ni sawa tu na TAMISEMI
Tunaunda Katiba Mpya nadhani hili litaeleweka Zaidi maana juzi nimemsikia Ismail Jussa akisema 2025 ACT inaingia madarakani na Serikali Tatu, sijajua anamaanisha nini
Ahsanteni 😂