johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
"Katika nchi za Afrika hakuna Serikali bali kuna Magenge ya Watu walioshika silaha na kupora rasilimaki za nchi ili kujinufaisha wao wenyewe binafsi pamoja na vibaraka wao."Nisingependa kukuchosha kwa kukuandikia notes bali wewe mwenyewe google ujifunze maana ya Taifa ( nation), Nchi( country) na Serikali ( government)
Ukichambua kimakini utagundua pale TANU na ASP zilipoungana tukawa na Utamaduni Mmoja wa kisiasa kimsingi hata Serikali ikawa ni Moja tu hii ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
SMZ ni sawa tu na TAMISEMI
Tunaunda Katiba Mpya nadhani hili litaeleweka Zaidi maana juzi nimemsikia Ismail Jussa akisema 2025 ACT inaingia madarakani na Serikali Tatu, sijajua anamaanisha nini
Ahsanteni ๐
Hivi huwa hamchoki kuidogosha Zanzibar?Nisingependa kukuchosha kwa kukuandikia notes bali wewe mwenyewe google ujifunze maana ya Taifa ( nation), Nchi( country) na Serikali ( government)
Ukichambua kimakini utagundua pale TANU na ASP zilipoungana tukawa na Utamaduni Mmoja wa kisiasa kimsingi hata Serikali ikawa ni Moja tu hii ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
SMZ ni sawa tu na TAMISEMI
Tunaunda Katiba Mpya nadhani hili litaeleweka Zaidi maana juzi nimemsikia Ismail Jussa akisema 2025 ACT inaingia madarakani na Serikali Tatu, sijajua anamaanisha nini
Ahsanteni ๐
Je, inatambuliwa UN, AU, SADC au Hata EAC?Hivi huwa hanchoki kuidogosha Zanzibar?
Mnataka Wazanzibar wafanye nini ili muelewe kuwa Zanzibar ni nchi na Taifa?
2. Ina mipaka yake
2. Ina watu wake
3. Ina Rais wake
4. Ina Bunge lake
5. Ina magereza yake
6. Ina bendera yake
7. Ina wimbo wake wa Taifa
8. Ina mikoa na wilaya zake
9. Ina Baraza lake la mawaziri
10. Ina Jeshi lake
11. Ina Mwanasheria wake mkuu
12. Ina Jaji mkuu
13. Ina utamaduni wake
14. Ina viongozi wake.
15. Ina kila kitu kama ilivyo kwa nchi na mataifa mengine.
Muungano wa mataifa Mawili na kuwa Taifa MojaTanzania haijawahi kuwa Taifa bali Muungano. Mataifa ni Tanganyika na Zanzibar.
Ushirika wa Tanganyika na Zanzibar siyo Utaifa! Acheni kupotosha watoto!
๐๐Mimi muungano niliuchukia kwasababu ya somo la CIVICs hii topiki ilikua ngumu kwangu na yenye notice nyingiใ
Ni Muungano wa serikali mbili kuwa na serikali mbili!๐ค๐ค ๐Muungano wa mataifa Mawili na kuwa Taifa Moja
Mkuu hayo ya kutambulika Kimataifa ni kama maigizo tu. Uhalisia ni yanayotendeka Zanzibar na siyo mitazamo ya wengine.Je, inatambuliwa UN, AU, SADC au Hata EAC?
Samahani lakini
Sijui wachapwe viboko hawa watanganyika wa kijani na manjano ndio wakubali Zenji ni taifa kamiri tena huru kabisa.Hivi huwa hamchoki kuidogosha Zanzibar?