Ukikaribia kufa

Ukikaribia kufa

Namba 26

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2018
Posts
309
Reaction score
918
Kwa kawaida Binadamu ana Mambo Mengi sana ndani yake, kiasi kwamba hadi sasa tunavyovijua ni vichache mno kuliko tusivyovijua.

Leo Nitawaleteeni Funzo fulani kuhusu saa za mwisho mtu anakaribia kufa. Kwa Mara nyingi Watu wengi wanapokaribia kufa huwa na hali tofauti na ya nyuma, kama vile Ucheshi kuongezeka

Kutabiri mambo, uwezo wa kuaga wenzao, kulalama kwamba wanaona jitu, watu, shetani, mizimu kuwa wanakuja kuwachukua na nyinginezo. Mara nyingi mambo haya huwatokea watu siku au masaa ya mwisho wanapokuwa wanakaribia kuuacha mwili (Kufa).

Siri iliyojificha nyuma ya mambo haya yote ni ''Jicho Latu'' au kwa jina jingine naweza nikakwambia kuwa ni ''jicho La Roho''
Kwa kawaida Kila mtu ana jicho la tatu ila ni binadamu wachache sana ambao huweza kulicontrol jicho hilo kwenye maisha yao ya kila siku.

Walio Wengi huishi kwa Macho haya haya mawili tunayoyajua ambayo kwenye ulimwengu wa Roho macho haya ni sawa na upofu tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu umeeleza hali ya mtu anayekaribia kufariki, lakini hujaeleza juu ya hali za roho za watu walioisha kufa zinahisi nini au inakuaje kwa sababu watu wengi nadhani wangependa kujua huo mustakbal.
 
Mini kinatokea pindi mtu anapokufa? kabla na baada ya kuzikwa? wishing one day kujua hayo. Lakini after life is full of endless hanging dreams, like before born. Neither heaven nor hell,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mini kinatokea pindi mtu anapokufa? kabla na baada ya kuzikwa? wishing one day kujua hayo. Lakini after life is full of endless hanging dreams, like before born. Neither heaven nor hell,

Sent using Jamii Forums mobile app

Kujua habari ya maisha ya kabla ya kuzaliwa ni ngumu sana kuliko kujua habari ya maisha baada ya kifo. Na vitabu vya Mungu na watu wa Mungu wanatusaidia kujua kwa msaada wa Mungu mwenyewe.
 
Kwa kawaida Binadamu ana Mambo Mengi sana ndani yake, kiasi kwamba hadi sasa tunavyovijua ni vichache mno kuliko tusivyovijua.

Leo Nitawaleteeni Funzo fulani kuhusu saa za mwisho mtu anakaribia kufa. Kwa Mara nyingi Watu wengi wanapokaribia kufa huwa na hali tofauti na ya nyuma, kama vile Ucheshi kuongezeka

Kutabiri mambo, uwezo wa kuaga wenzao, kulalama kwamba wanaona jitu, watu, shetani, mizimu kuwa wanakuja kuwachukua na nyinginezo. Mara nyingi mambo haya huwatokea watu siku au masaa ya mwisho wanapokuwa wanakaribia kuuacha mwili (Kufa).

Siri iliyojificha nyuma ya mambo haya yote ni ''Jicho Latu'' au kwa jina jingine naweza nikakwambia kuwa ni ''jicho La Roho''
Kwa kawaida Kila mtu ana jicho la tatu ila ni binadamu wachache sana ambao huweza kulicontrol jicho hilo kwenye maisha yao ya kila siku.

Walio Wengi huishi kwa Macho haya haya mawili tunayoyajua ambayo kwenye ulimwengu wa Roho macho haya ni sawa na upofu tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna funzo hapo uliloandika sadari kakomae na kuuza bangi tu
 
Back
Top Bottom