Ukikosa mtu wa kukupinga kuna hatari ya kuwa mbaya!

Ukikosa mtu wa kukupinga kuna hatari ya kuwa mbaya!

Street brain

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2022
Posts
584
Reaction score
767
Wazee wanasema, "Ukikosa mtu wa kukupinga kuna hatari ya kuwa mbaya." Mti unaota bila mpango unaweza ukawa dhaifu kwasababu ya matawi mengi! Ni vizuri kukubali kukosolewa! Wala usitengeneze uadui na wale wanaokukosoa. Watumie kujipruni ukue vizuri washangae.

Asiyekosolewa ni Mungu tu! Wanaokukosoa wanaweza wakakuumiza ila tambua moyo wa mtu jasiri una makovu mengi. Kama wewe unachukiwa na watu wote, una matatizo na kama wewe unapendwa na watu wote unamatatizo pia.

Fisi hawezi kuiba ngozi bila kupiga kelele😝. Hivi anga likichanika utaweza kulishona?😝😅utatumia sindano gani? Chaa sijui nawaza nini!🏃🏻‍♂️🫣Hivi kuku angekuwa ananyonyesha, sijui watoto wangenyonyaje na ule mdomo?😅

©️Pocco
 
Back
Top Bottom