bila shaka wewe ndiyo umelogwa mkuu, hamna sehemu ambayo rushwa haipo!! Labda kurudisha UHAI wa mtu hapo ndipo rushwa ilipogonga mwamba!!! Ni mbinu gani hiyo ya siri namna hiyo mkuu unataka kuwapa vijana au unataka kuwabebesha vijana sembe maana hamchelewi nyie,.