ukikuta zimetumika utareact vipi?

noella

Senior Member
Joined
Mar 21, 2011
Posts
101
Reaction score
50
Maswala ya wivu tuweke kando jamani. Swala ni hivi kwenye wallet ya mpenzi wako kuna condom tatu ambazo walipewa kazini kwenye zile training za kuhusu ukimwi,zimekaa muda kweli kila ukipiga chabo unazikuta mara vaap umechungulia siku ya siku mbili zimetumika. Je utareact vipi?
 
Hakuna haja ya kureact! Zimetumika zimetumika tu, hakuna cha ziada hapo.
 
Atareact vipi? Vyovyote vile namwambia nimezitupa maana naona zinachakaa halafu sina wakuzitumia naye halafu nakausha
 
Hapo wewe mdada unatakiwa ushukuru kwamba training imemsaidia
 
Nchi inatumbukia kusiko julikana nyie mmeng'ang'ania tuuu ngono Jazbend zenu.
 
unamnunulia nyingine unamuwekea kwenye wallet
 
Nakwambia kama ingekuwa mimi nagenieleza amzitumia vipi na kwa nani, nakwambia huo ugomvi wake hata balozi hawezi kuamua
 
Simpo. Na mimi nitanunua condoms tatu nitahakikisha kaziona then after sometime nitakata mbili nitatupa ili ibaki moja then nitahakikisha ameona.then nasubiri reaction yake.
 
ntapotezea. Nina uhakika gani kama zimetumika? Kama aliona zinamjazia wallet akazitupa?

Kuziona kwenye wallet daily sio ishu! What if anatumia then ananunua mpya na kuzireplace?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…