Zee la Mandandu
JF-Expert Member
- Nov 30, 2022
- 1,064
- 2,603
Alafu ikawaje?Ilitokea mahali kwenye usafiri wa public mwenye simu anasoma zake sms , Huku pembeni kuna mtu anachungulia Mwenye simu alichofanya alichukua simu yake akampa chukua abiria mwenzake chukua usome vzr chukua nakuambia chukua...aloooh😄
Umenikumbusha kituko kimoja niko kwenye basi Kilimanjaro nikiwa natoka Arusha pembeni yangu alikaa mdada ambaye alipandia Mianzini. Ni mweupe sura anayo sana sema shape amenyimwa. Muda mwingi wa safari nilikuwa na chatt huyo mdada alikuwa kama spy kwangu akiona tu ninachatt anaanza kuchungulia. Baadaye nikaona kama ananibore vile. Sijui nilipata wapi wazo la kumpiga picha. Ikawa kila akichungulia anakutana na camera inamchukua picha... Baadaye alisonya na hakurudia tena kuchungulia.Naweka camera ya mbele tuonane vizuri
We jamaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mwanamke akiamua kuvua sidiria ndani ya daladala, anaweza kuwalaumu watu wakimuangalia?
Unamchoma moto kama lile basi la sai babaBaadhi ya abiria wamekuwa na tabia hii ya kuchungulia kinachoendelea kwenye simu za majirani zao wanapokuwa kwenye usafiri wa umma bila kujali hawapaswi kufanya hivyo.
Ukikutana na abiria kama huyu akiwa anachungulia unachofanya kwenye simu yako bila ridhaa yako unafanyaje?
🤣🤣🤣🔊📝Naweka camera ya mbele tuonane vizuri
🤣🤣🤣🔊Ilitokea mahali kwenye usafiri wa public mwenye simu anasoma zake sms , Huku pembeni kuna mtu anachungulia Mwenye simu alichofanya alichukua simu yake akampa chukua abiria mwenzake chukua usome vzr chukua nakuambia chukua...aloooh😄
🤣 🤣 🤣Dah! Hii ilinikuta juzi aisee... Nimepanda basi natoka Tabora nipo na Tablet naperuz zangu Twitter huko. Kumbe jamaa anashuka na post zangu moja baada ya nyingine uzalendo ukamshinda kwenye post ya kikosi cha Simba akaniambia emh rudisha hapo sijamaliza[emoji28]
Soma tena kwa ufahamu. Sikusema nashindwa kutunza siri kwenye vyombo vya umma. Nimesema Tanzania kuna huo utamaduni.Kwanini nawe unashindwa kutunza usiri wako kwenye vyombo vya umma. Ficha simu yako na sio kuwasha au kuchati huku umeiweka wazi kwa umma.
dronedrakeOiii VPN ON the rest Brazzers
Watu hawako busy sanaNchi zilizoendelea ni mara chache sana utakuta mtu anadokolea macho kwenye simu yako. Kwa Tanzania ni jambo la kawaida sana. Na kuna jingine: kudokolea mtu macho kama panya aliyedakwa shingo. Hili Bongo wanalo sana wanaume hasa Dar.
SafiNaweka camera ya mbele tuonane vizuri
Shida ya simu za laki na nusu ndio hiyo, simu za maana mtu wa pembeni akipiga chabo anaona dark tu.Baadhi ya abiria wamekuwa na tabia hii ya kuchungulia kinachoendelea kwenye simu za majirani zao wanapokuwa kwenye usafiri wa umma bila kujali hawapaswi kufanya hivyo.
Ukikutana na abiria kama huyu akiwa anachungulia unachofanya kwenye simu yako bila ridhaa yako unafanyaje?