uKIKUTANA NA MAJIBU HAYA WAT WILL U DO?

uKIKUTANA NA MAJIBU HAYA WAT WILL U DO?

Pearl

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2009
Posts
3,036
Reaction score
319
Jamani

Hivi ukipata majibu kama haya what do you do?????

Sms: Sweet, nimekukumbuka sana leo, natamani tungekuwa sote mida hii. Upo wapi mpenzi?
Jibu: Nipo

Sms: Yaani nimekutafuta kweli mpenzi, mbona ulikuwa hupatikani? Mwenzio sijalala nakufikiria wewe my love. Umenimiss?
Jibu: Simu iliisha charge

Sms: Baby leo nakula chakula kitamu kweli. Sijui wewe unakula nini. Natamani tungekuwa wote. Karibu mpenzi
Jibu: Thank you

Sms: Honey, yaani ile perfume uliniletea inanukia vizuri ajabu. Yaani hapa nipo nasikia harufu yake na kukuwaza wewe, tena nakumbuka leo umetoka fresh na ile tshirt nilikununulia. Ukisoma hii sms wewe unapata hisia gani?
Jibu: Tshirt inanibana
 
I will do Nothing!!
Pearl unajua kusoma alama za nyakati???
yaani hizo hayo majibu its another vocabulary meaning that: YOU ARE LIKE A LICE IN MY SHIRT. Yaani hutakiwi tena!!!!! do u ger me???
 
Jamani

Hivi ukipata majibu kama haya what do you do?????

Sms: Sweet, nimekukumbuka sana leo, natamani tungekuwa sote mida hii. Upo wapi mpenzi?
Jibu: Nipo

Sms: Yaani nimekutafuta kweli mpenzi, mbona ulikuwa hupatikani? Mwenzio sijalala nakufikiria wewe my love. Umenimiss?
Jibu: Simu iliisha charge

Sms: Baby leo nakula chakula kitamu kweli. Sijui wewe unakula nini. Natamani tungekuwa wote. Karibu mpenzi
Jibu: Thank you

Sms: Honey, yaani ile perfume uliniletea inanukia vizuri ajabu. Yaani hapa nipo nasikia harufu yake na kukuwaza wewe, tena nakumbuka leo umetoka fresh na ile tshirt nilikununulia. Ukisoma hii sms wewe unapata hisia gani?
Jibu: Tshirt inanibana
Tatizo manapendwa kudanganywa ndo muone mnapendwa....Jamaa kamua kuongea ukweli!!
 
Ah ah ah gat u bby
i will do nothing!!
Pearl unajua kusoma alama za nyakati???
Yaani hizo hayo majibu its another vocabulary meaning that: You are like a lice in my shirt. Yaani hutakiwi tena!!!!! Do u ger me???
 
hapo ni baada ya kidume kujipindua uswazi...!amekamata kitoto hata simu hakina,wala meseji hakijui kutuma...!chenyewe kinajua ''gemu'' tu!....
 
eti ooh sipati usingizi nakuwaza,
Si unywe piriton!!
 
Zinaboa mno ni bora asingejibu kabisa, unaweza ukakesha hakuna usingizi kwa mawazo na hizo short cut sms.
 
kwa kweli hayo majibu yanakatisha tamaa kabisa,ila ni makusudi na ukiona hivyo geuzia antena sehemu nyingine
 
Back
Top Bottom