Usedcountrynewpipo JF-Expert Member Joined Aug 1, 2012 Posts 3,636 Reaction score 2,728 May 16, 2014 #1 Kama umeagiza gari na limefika bandarini ihali huna hela ya kulipia kodi kwa sasa ni PM. Usijinyonge wakati kuna watu tunaweza kuwa wa msaada kwako.
Kama umeagiza gari na limefika bandarini ihali huna hela ya kulipia kodi kwa sasa ni PM. Usijinyonge wakati kuna watu tunaweza kuwa wa msaada kwako.
Deo Corleone JF-Expert Member Joined Jun 29, 2011 Posts 17,006 Reaction score 13,281 May 16, 2014 #2 Kama nimelitoa then nataka niuze fasta?
Window7 JF-Expert Member Joined Sep 17, 2013 Posts 4,098 Reaction score 3,038 May 16, 2014 #3 Unataka riba?