Ukila kiapo kitunze na usijisahau ukajiona uko juu ya kiapo

Hennes kolon

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2023
Posts
673
Reaction score
1,294
kiapo ni ahadi ya mwisho ya uaminifu wako,mala nyingi viapo huwa rahisi kuvitunza hasa pale unapokuwa ni mgeni kuingia katikati ya hicho kiapo, lakini kadri ya siku zinavyokwenda mtu anaweza kukizoea kiapo na akajisahau alikula kiapo.

Mliokula viapo msijisahau, muwe waaminifu katika viapo vyenu. Shauri yenu. Nimejaribu kuwakumbusha tu.
 
Jazia nyama tujue kilichokupata baada ya kusahau kiapo chako Ndugu [emoji2960]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom