Ukila nanasi kila siku una hatari ya kupata ugonjwa wa kisukari?

Ukila nanasi kila siku una hatari ya kupata ugonjwa wa kisukari?

The water

Member
Joined
Dec 8, 2017
Posts
42
Reaction score
26
Naomba kujibiwa swali langu kwa sababu mimi huwa nakula kila ck nanasi moja kubwa la wasitani.
 
NI KWELI.

Blood Sugar Levels:
What?

This is one of the serious side effects of pineapple. Pineapples have been found to heighten blood sugar levels. This obviously does pose complications.

How?

Pineapples are one of those fruits whose natural sugars are very high. And because of this, they elevate blood sugar levels in our body (2). Most fruits contain carbohydrates and these can also raise the blood sugar levels. ½ cup of pineapple has 15 grams of carbohydrates.
 
Ok
 
Mwili wa binadamu umri mbwa na vitu viwili vinavyo regulate blood sugar. Insulin na colagon.

Sukari ikizidi kwenye damu ubongo Hypatia habari na insulin inaachiwa kwenye damu kuipunguza na sukari ukiwa chini inaongezwa.
exactly.......mwili unaregulate abnomality yoyote blood sugar level.....kwa kiwango chochote kile unless tu huwe na matatzo kama hepatitis B au weakness ya aina yoyote kwenye mfumo wa liver......hivo huchangia hufanyaji kazi hafifu wa sugar regulation.
 
Mwili wa binadamu umeumbwa na vitu viwili vinavyo regulate blood sugar. Insulin na glucagone.

Sukari ikizidi kwenye damu ubongo hupata habari na insulin inaachiwa kwenye damu kuipunguza na sukari ukiwa chini glucagone huachiwa.
Dada hujagusia kama sukari ya Nanasi ina madhara -ve ama?
 
Sukari ya nanasi ni kama sukari nyingine yeyote ikizidi mwilini insulin inaipunguza, haya yote hufanyika automatically.
Daah. Vitu vyote vitamu vina sumu, sijui kwa nini?
 
Kuna kitu inaitwa simple carb na complex carb....sasa nanasi ni complex carb ina release sugar taratibu uki compare na soda,juice za viwanda na bidhaa nyingine za viwandani....usihofu kula tu
 
Mm nakulaga hata matano kwa sik kama ni kipindi cha msimu
 
Mkuu utakua mkwere tu sio bure, kila Siku unapiga la "wasitani"???
 
Naomba kujibiwa swali langu kwa sababu mimi huwa nakula kila ck nanasi moja kubwa la wasitani.

Kula tunda wakati wa msimu wake,
Nilisoma Mahali (sio vitabu vya Kitabibu) kuwa mwili wa binadamu unajiregulate kutokana na msimu husika, so Kama ni msimu wa Embe, Nanasi nk basi mwili wako utakuwa unahitaji hivyo vitu pia, epuka kula tunda lisilokuwa kwenye msimu kwani mwili haulihitaji hilo tunda kwa kipindi hicho,

Kwa sasa kuna shida kubwa ya Tikiti maji, tikiti maji ni tunda la msimu lakini kwa sasa limekuwa tunda la mwaka mzima, hivyo kuna kipindi mwili wako unataka matunda yasiyo na Sukati sana kama Parachichi nk, lakini utakuta mtu anakula Tikiti maji na kuingiza sukari ambayo haitakiwi mwilini

NB: SIO RIPOTI ZA KITABIBU BALI NI ZA HAWA WATAALAM WA VYAKULA, GOOGLE MITANDAONI UTAPATA KALENDA NZURI YA ULAJI WA MATUNDA
 
Back
Top Bottom