kalagabaho
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,457
- 5,893
Sukari ya nanasi ni kama sukari nyingine yeyote ikizidi mwilini insulin inaipunguza, haya yote hufanyika automatically.
Kwasababu una consume sukari nyingi kupita mahitaji ya mwili unaulazimisha mwili huhifadhi sukari hii kwa siku za shida na kubadilishwa kuwa mafuta. Madhara ni pale mafuta haya yakizidi mwilini yataleta shida katika ufanyaji kazi wa viungo kama moyo na ini. Pia inaweza kukuletea ugonjwa wa kisukari kwani insulin inayozalishwa na mwili its shida a na mahitaji na uzalishwaji wake.N
Numefululiza kula nanasi kwa muda sasa ila hivi karibuni nimegundua naongezeka uzito usio wa kawaida wakati utartatibu wangu wa kula vyakula vingine ni ule ule usio na umpact kwenye uzito..hivi inawezekana ikawa nanasi ndio sababu?
Nilikua naogopa kunywa Pepsi kavu bila kuchanganya na konyagiKwasababu una consume sukari nyingi kupita mahitaji ya mwili unaulazimisha mwili huhifadhi sukari hii kwa siku za shida na kubadilishwa kuwa mafuta. Madhara ni pale mafuta haya yakizidi mwilini yataleta shida katika ufanyaji kazi wa viungo kama moyo na ini. Pia inaweza kukuletea ugonjwa wa kisukari kwani insulin inayozalishwa na mwili its shida a na mahitaji na uzalishwaji wake.
Hahah, dah we jamaa nimecheka hapa.Mi najua kula nanasi kwa hitaji nafasi!