SI KWELI Ukila Tango na Asali unaweza kupoteza Maisha

Baada ya kuitathmini taarifa hii, tumebaini kuwa si ya kweli.
Huwezi kufa maana juzi nilikula Pilau na Kachumbari Yenye Tango baadae nikapiga kijiko Cha asali lkn sijafa.
 
View attachment 2786374
Wakuu habari,
Leo katika pita pita zangu nikakutana na na uvumi kuwa mtu akila Tango na Asali anaweza kufa.

Je kuna ukweli wowote juu ya hilo? Na kama kuna ukweli chanzo kitakuwa nini?
 
View attachment 2786374
Wakuu habari,
Leo katika pita pita zangu nikakutana na na uvumi kuwa mtu akila Tango na Asali anaweza kufa.

Je kuna ukweli wowote juu ya hilo? Na kama kuna ukweli chanzo kitakuwa nini?


unajua kinachinoshangza haya mambo ya uvumi wa afya ni kitu kimoja... hivi mtu huwei kujiuliza kuwa hii ni 2023... kuna miaka zaid ya 30 - 50 imepita toka teknolojia za TV na internet zimekuwepo.. kuna makala mafunzo ya elimu ya afya ya kila namna yametolewa dunian.. kuna matangazo na majarida kibao vimetolea kuhusu elimu ya chakula na afya.. ....

yaani hao wataalam wa afya walijue hilo la hatar ya kufa kwa tango na asali na wala walisilitolee elimu kwa public.... kwenye kitu ambacho 100% kinapatikana kwa urahisi had vijijini.. ila watoe Elimu ya majarida na matangazo kwa vipindupindu na maleria ? hv unahs ingekuwa kweli kipi kingekuwa kinaua kwa urahs ambacho kilihitaji uwekezaji katika kuwaahabarisha jamii madhara yake kati ya kipindupindu na ulaji wa Asali na Tango

Pia yaan enzi na enzi za mababu zetu waliorithishana Elimu za mitishamba, majan iambayo ni dawa mbalimbali.. unataka kunambia washindwe kujua kuwa Tango na Asali ni Sumu mpaka leo hii.. ila waweze kujua kuwa kuna mihogo na Uyoga wenye sumu..
 
Huo ni uongo hiyo makitu nishakula mbona sijafa?
 
Mara nyingi tuu nimekula asali na tango japo siyo kwa kuchanganya hakuna madhara niliyowahi kupata.Ninachojua mimi asali na nyama ya kondoo hasa yenye mafuta ni BYE BYE.
 
Matumizi mbadala ya asali, jipake mwili mzima then mwambie shem akuramberambe
 
Mi najua walokufa kwa kula ugali wa mhogo.na wengne walikula mihogo ya juchemsha saiv walishasahaulika kitambo sana
Note. Ni ukanda wa kaskazini hasa kilimanjaro
Iliwapasa kulamba sukari tu ili wabaki hai
 
Hili swala hata mimi ni mtihani, asali naweza kuisahau hata miezi miwili sijaitumia, ni mara chache japo ndani huwa haikosi.

Kuhusu jambo la mleta mada binafsi ndio mara ya kwanza nasikia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…