SI KWELI Ukila Tango na Asali unaweza kupoteza Maisha

Baada ya kuitathmini taarifa hii, tumebaini kuwa si ya kweli.
Mimi nilishakula Tango na Asali mbona nipo hai.... Huo ni uongo kama uongo mwingine
 
Jaribu uone cha mtema kuni. Utahisi moyo unaungua that's really bad.
Uwongo na uzandiki mimi nimtumiaji wa asali kila siku nachukua slice mbili za mkate napakaza asali plus yai jicho la ngombe plus hivo vitango nafanyaga kama sandwichi nakula safi kabisaa hayo mengine nakuachia mwenyewe ni sawa na kusema asali na ndimu ukila unakufa sio kweli .
 
Blaza usizungumzie haya matango ya mchongo ambayo yapo kibao mjini. Nikikupa tango lenyewe la asili huchukui raund unakufa kama panyabuku kwenye maji
 
Fanya research kwa kula tango na asali Kisha ulete mrejesho hapa jukwaani. Kama ukifariki acha ujumbe kwa mwana jukwaa atujuze ukweli wa utafiti wako.
Uongo mimi ninatumia asali na tango kwenye mkate naweka katikati mbona sijafa tena ni tamu haswa ...chukua asali tia kwenye mkate kisha weka slesi za tango kisha fun8ka na mkate kula ni tamu haswa
 
Ukafaga kifo cha mende baada ya tango .........na asali......
Na baada ya kua anameza tango akawa anaimba tu Honey [emoji518] kama zuchu huku akiwa anakufa kifo cha mende..
 
Huu uvumi hauna tofauti na ule eti ukinywa pombe na maziwa unakufa.

These are just myths & misconceptions that have no authentication.
Unaweza tu kuharisha pombe na maziwa huvuruga tumbo muda mwingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…