NADHARIA Ukilala kuelekea Kaskazini unaweza kupata madhara

Taarifa hii ni nadharia tu, tumeitolea ufafanuzi kwa kadiri ilivyowezekana
Kwanini serikali yetu haikututahadharisha kwa jambo hatari kama hili?
 
Mbaya ni kulala kwa kuelekeza kichwa mashariki, jua linapotokea. Kwetu ni mwiko.
 
Jamaa anaakili ndogo sana,madini chuma kwenye mwili wa binadamu hayapo kwenye form hiyo anayosema,ijapokuwa uchaggani tulipokuwa wadogo Kuna direction tuliambiwa tuelekeze vichwa wakati wa kulala
 
Nimekutana na hii video mtandaoni nahitaji kukufahamu kama ina ukweli wowote

View attachment 3250191
Upande sahihi wa kuelekezea kichwa ni MASHARIKI.....hapo kasema magharibi yaani jua linakozamia ni mtihani sana wengi hufia usingizini......kaskazini pia kuna sumaku mshajara....na kusini ni nguvu tepete
 
Kama kuna ukweli fulani kuna siku niligeuka hivyo nimeota mindoto ya ajabu ajabu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…