Pascal Ndege
JF-Expert Member
- Nov 24, 2012
- 2,977
- 1,897
Nina hasira na mabilioni ya katiba mpya yaliyotafunwa bure.
Mtoa mada umepungukiwa na akili ama ulitoroka milembe1.kilimo kwanza badala ya tatizo la shule za kata.
2.Vitambulisho vya Taifa badala ya Hospital na madawa
3.Katiba badala ya mikopo ya wanafunzi
4.BVR badala ya tatizo la waalimu
5.Kigamboni bridge badala ya Kufufua viwanda
6.Gas badala ya makaa ya mawe kuzalisha umeme
7.Bomba la gas badala Reli ya kisasa
8.Kukodi Ndege Badala ya kununua ndege za serikali
9.Kuuza ardhi kwa kwa wawekezaji badala ya ubia na wananchi
10.operation tokomeza badala ya usalawa wa raia(kuajili askali wa kutosha)
Mtoa mada umepungukiwa na akili ama ulitoroka milembe
Tukianza kulist hapa tutajaza list ya mamia kwa mamia
Nipo milembe wewe upo wapi
Nina hasira na mabilioni ya katiba mpya yaliyotafunwa bure.