Ukileta nenda ukalale. Tafadhari sana

Kila aliekuja kuangalia Mzee analikimbia lile tinginya alibakia mdomo wazi eeh sasa Mzee hili tinginya umelishindwa ndio unaleta fujo namna hii kweli? Ni aibu.
Siri ya mtungi ajuaye kata.
Utamu wa ngoma uingie uicheze mwenyewe.
Unajuaje labda tinginya Ni show mbovu, harufv ya uvundo wa kutosha?
 
Kwani umeshajua sababu ya Mzee kutaka kukimbia? Je kama yuko vizuri ila amekutana na kitu cha ajabu ambayo hakutegemea
 
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…