Ukilewa huwa unakuwa na tabia gani?

Ulienda kusoma dada. Si ulitumwa na Mbeya nzima? [emoji1787][emoji1787][emoji1787] wala usisikitike.

Unapajua sehemu gani sasa wewe? Si ajabu hata msalato hujawahi fika. Hata wine za kupima za Dom hujawahi kunywa [emoji23] dah
Mwee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji134]
Kusoma kwenyewe niikuwa zimamoto.
Hata sielewi Dodoma nimeondoka sipajui.

Msalato sijawahi fika [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Napajua 7 7,square na ofisi za mabasi tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaanzaje kuijua nyerere square ukaacha kuijua t square?
 
Naogopa hata kuuliza.... naogopa kusikia jibu lake.

Ila wanakuwaga washenzi hawa sisi tuko tunaruka majoka tunalewa wao wamejifungia ndani wanatoka jasho usiku kucha.

Ogopa sana mtu mwenye starehe moja tu..... anaiover do

Hatari sana mi saa hizi hata ukinipa show Sina nnachoweza zaidi ya kulegeza jicho
 
Naogopa hata kuuliza.... naogopa kusikia jibu lake.

Ila wanakuwaga washenzi hawa sisi tuko tunaruka majoka tunalewa wao wamejifungia ndani wanatoka jasho usiku kucha.

Ogopa sana mtu mwenye starehe moja tu..... anaiover do
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Starehe yangu ni mapambio.
Yaani tutakesha tunaimba.

Hapa koo linaniwasha kesho nataka nivamie kanisa lolote nikaserebuke.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wapo vizuri, ila ulaku wangu unaonaga wa waswanu ni tamu zaidi [emoji23]

SA inawezekana, ila simlaumu maana bado hajachelewa sana.
Waswanu anapika mdudu kumbe?! Nilienda nikageuzia mlangoni, niliyekuwa naye hakupapenda mazingira yale. Sijui mke wa mtu ah nisiwaze sana [emoji23][emoji23][emoji23]

Anna asije akajiroga akaingia kwenye ndoa kabla hajaexperience haya maisha.
 
Kheeee
Nikupe tu pole 😂
 
Unaweza ukanywa soda 19?

Soda sa 5000 tu humalizi. Kula vyombo wee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwahiyo kahela kangu kotee nikalipe kodi kwa bia [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Soda 2-3 kwa siku.

Mimi ninachoweza kunywa ni Grand Malt.
Zile hata 10 nafuta zote.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wapo vizuri, ila ulaku wangu unaonaga wa waswanu ni tamu zaidi [emoji23]

SA inawezekana, ila simlaumu maana bado hajachelewa sana.
Waswanu anapika mdudu kumbe?! Nilienda nikageuzia mlangoni, niliyekuwa naye hakupapenda mazingira yale. Sijui mke wa mtu ah nisiwaze sana [emoji23][emoji23][emoji23]

Anna asije akajiroga akaingia kwenye ndoa kabla hajaexperience haya maisha.
Kheeee
Nikupe tu pole [emoji23]
Nyie watu[emoji38][emoji38][emoji38]
Mnaweza kumfanya mtu ajione mzembe[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…